Loading...

BEKA FLEVA: MBOSSO Hajanitetemesha! ASLAY na yeye acha tushindane tu. Kostenloser MP3-Download

Share
Add
 • Published on Feb 25, 2018

 • LilOmmyTV channel maalumu ya Burudani na EXCLUSIVE interview kutoka kwa masta unaowakubali. Hakikisha una Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp au mitandao yako ya kijamii (facebook na twitter). Ni follow kwenye mitandao ya kijamii. http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/LilOmmy http://www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea lilOmmy.com
 • BEKA FLEVA: MBOSSO Hajanitetemesha! ASLAY na yeye acha tushindane tu. tags

Comments

 • Andrew Dullah
  Andrew Dullah 1 year ago

  Beka unajielewa sana, maswali ya papo kwa papo lkn unajibu km ulitumiwa ukajiandaa,,, very bright boy !!!!

 • Alex Shamwama
  Alex Shamwama 1 year ago

  But Enock bdo anaitaji support yenu please

 • George Elumba
  George Elumba 1 year ago

  Mbosso ni mkali sana bro

 • Salim Mohd
  Salim Mohd 1 year ago

  kila mtu na kiwango chake lakini beka fundi .tatiso hana menejment yenye kiki .hebu angalia promo za mboso hatari.hebu angalia sapoti ya asley hatari .walokosa menejment nzuri ni beka na enoki ila huyu beka anaweza sana moro fire

 • Omary Mbalala
  Omary Mbalala 1 year ago

  beka unajua kuliko aslay sema huna saport kama yake

 • Bish_ DaddiYao
  Bish_ DaddiYao 1 year ago

  BAKARI MOB LOVE MANZEE.,MVP MAD SH0UT0UT πŸ’žπŸ™ŒπŸ’žπŸ™Œ

 • Zam Maulidi
  Zam Maulidi 4 months ago

  Kweli beka upo vizuri japo wote so wabaya ila beka kijana mzuri Sana Yani na Moyo wako mzuri pia

 • Abdulwarith Chulubye

  Lilommy huyo beka balaa Na hattaarrriii,ila mshauri ajiunge Na KING KIBA kwenye kundi lake,wakija kuimba balaaaaaaa..

 • Hamza Mussa
  Hamza Mussa 1 year ago

  Beka kaza kaka unafanya powa sana nakukubali sana

 • Bish_ DaddiYao
  Bish_ DaddiYao 1 year ago

  BAKARI MOB LOVE MANZEE.,MVP MAD SH0UT0UT πŸ’žπŸ™ŒπŸ’žπŸ™Œ

 • Dan Jafari
  Dan Jafari 1 year ago

  We beka kwenye sauti tu ndonakukubali maana weye mkali sana

 • bary Tz
  bary Tz 1 year ago

  Ze baba why kofia2

 • Zam Maulidi
  Zam Maulidi 4 months ago

  Kweli wewe MTU beka unainuwa wenzako wadogo sihaba

 • Lucy Hussein
  Lucy Hussein 1 year ago

  big up

 • niyogushima super john

  Beka noma sana mi na kukubali sana

 • Munir Muhamed
  Munir Muhamed 1 year ago

  πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

 • Abdul Kuyambuka
  Abdul Kuyambuka 1 year ago

  Fire πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯

 • Johannes Mwadime
  Johannes Mwadime 11 months ago

  A very humble guy... big up BECKA

 • Nicky Meel
  Nicky Meel 1 year ago

  Enok vipi..amsheni huyo dogo

 • Ramsey
  Ramsey 1 year ago

  #KIBENTEN